BANDARINI SACCOS YAPATA SAFU MPYA YA UONGOZI
Tarehe 26/11/2023 Bandarini SACCOS ilifanya Mkutano Mkuu wa 55 wa mwaka 2023 katika Jengo la Bandari-One Stop Center ikiwa ni hitimisho la wiki ya Bandarini SACCOS iliyoanzia tarehe 20/11/2023
Katika Mkutano huo ulifanyika Uchaguzi wa Viongozi wa Bandarini SACCOS ambapo viongozi wafuatao walichaguliwa kukiongoza Chama kwa miaka mitatu;
Wajumbe wa Bodi ni;
1. Ernest Nyambo – Mwenyekiti
2. Justicia Masinde – M/Mwenyekiti
3. Nuhu Urio – Mjumbe wa Bodi
4. Salum Salum- Mjumbe wa Bodi
5. Daines John – Mjumbe wa Bodi
6. Elizabeth Ndanshau-Mjumbe wa Bodi
7. Herry Kayumbo- Mjumbe wa Bodi
Kamati ya Usimamizi ni;
1. Ashura Msisi
2. Daudi Mwakijabilwa
3. Bernad Mtandu
Na Bi. Zulfa Njalumbe aliteuliwa kuwa Mjumbe Mwakilishi.