Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

Image Alt

Akiba

Akiba inayowekwa dhamana kwa mikopo yote, haitolewi hadi ukomo wa uanachama, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh.100,000

Akiba amabayo mwanachama anaweka kwa ajili ya likizo, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 20,000

Akiba ya elimu, mwanachama huweka kwa ajili ya masomo yake pamoja na familia, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 50,000

Akiba kwa ajili ya watoto chini ya miaka 18, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 10,000

Akiba ya kikundi huwekwa kwa manufaa ya kikundi, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 100,000

Furahia bidhaa zetu
za Akiba

Karibu uchague bidhaa zetu za Akiba kwa riba nafuu kabisa ukiwa na BAndarini Saccos Limited

Translate »