Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

Slide Miliki Mjengo na Mjengo Loan Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya ujenzi. Mjengo f d s d Slide Miliki kiwanja na Plot Loan Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya manunuzi ya kiwanja Plot f d l d Slide Piga Kitabu na Shule Loan Mkopo hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kielimu SHULE f d s d Slide Tajirika na Tajirika Loan Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya biashara Tajirika f d d s

Bidhaa za Mikopo

 • Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya biashara
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 60
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 60
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji makubwa ya mwanachama
 • kiwango cha kukopa ni milioni 60 na zaidi
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 60
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kilimo ikiwemo kilimo cha biashara, chakula na ufugaji ikiwemo ufugaji wa samaki, kuku , ng’ombe na mifugo mengineyo.
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 30
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 48
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya shule ikiwemo ada, sale, vifaa vya shule na mengineyo
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 10
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
 • Riba ni 1.5% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya ujenzi wa nyumba na mapango mengineyo
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 60
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 60
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya manunuzi ya kiwanja.
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 20
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi  miezi 48
 • Riba ni 0% (Mkopo huu hutolewa bila riba)
 • Ada ni 0% (Mkopo huu hutolewa bila ada)
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Kinga ya majanga kama kifo na ajali ya ulemavu.
 • Mkopo hutolewa kwa mwanachama kwa ajili ya kununua samani za nyumbani
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 10
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 36
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo hutolewa kwa mwanachama kwa ajili ya mahitaji ya usafiri ikiwemo ununuzi wa gari n.k
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 50
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 48
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya Sikukuu
 • kiwango cha kukopa ni hadi 0.5 million (500,000)
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 6
 • Riba ni 1.5% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya ziara za kitalii kwa mtu mmoja moja au kikundi
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 15
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
 • Riba ni 1% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa kukidhi majanga mbalimbali ikiwemo mafuriko, matibabu, kufiwa, kuunguliwa na nyumba n.k
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 5
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
 • Riba ni 1.5% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
 • Mkopo huu hutolewa kwa mwanachama anayekata bima ya chombo chochote cha usafiri
 • kiwango cha kukopa ni hadi milioni 1
 • Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
 • Riba ni 1.5% kwa mwezi
 • Ada ni 0.3% ya mkopo
 • 1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama

ADVANCE SALARY

 • Mkopo huu hutolewa kwa wanachama wenye uhitaji wa mshahara tangulizi
 • kiwango cha kukopa ni 30% ya Mshahara
 • Marejesho ya mkopo huu ni mwezi mmoja
 • Riba na Ada ni 10% kwa mwezi
 • 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Translate »