Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YAFANYA MKUTANO MKUU WA 55 WA MWAKA 2023

BANDARINI SACCOS YAFANYA MKUTANO MKUU WA 55 WA MWAKA 2023

Tarehe 26/11/2023 Bandarini SACCOS imefanya Mkutano Mkuu wa 55 wa mwaka 2023 ikiwa ni hitimisho la wiki ya Bandarini SACCOS iliyoanzia tarehe 20/11/2023. Mkutano Mkuu huo ulihudhuriwa na Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam Bw. Mrisho S. Mrisho pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ambae alikuwa ni Mgeni Rasmi wa ufunguzi wa Mkutano, Bw. Josephat Simkoko aliyemuwakilisha Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Dar es salaam, Maafisa Ushirika wadau mbalimbali pamoja na Vyama Rafiki.

Post a Comment

Translate »