KARIBU TUKUHUDUMIE
Jiunge na Bandarini SACCOS Limited ili upate fursa ya kunufaika na huduma zetu bora zenye masharti nafuu. Tunatoa huduma mbalimbali ikiwemo Akiba, Amana, Hisa, Mikopo, na Bima.
Building
Empowered
Members
Wanachama
Watumiaji App
Mikopo(Billion(Tzs))
Akiba(Billion(Tzs))
Akiba
Akiba ni mojawapo ya huduma muhimu kwa wanachama wa Bandarini SACCOS Ltd, inayowawezesha wanachama kujiwekea fedha kwa ajili ya matumizi ya baadaye au kupata mikopo.
Hisa
Hisa ni sehemu ya umiliki wa Chama, na kila mwanachama anapata fursa ya kununua hisa kama njia ya kumiliki sehemu ya Chama. Hisa hizi hutoa haki kwa mwanachama kupata huduma mbalimbali katika Chama na kupata gawio la faida.
Amana
Amana ni fedha ambayo mwanachama anaiweka Bandarini SACCOS limited na anaweza kuichukua wakati wowote kwa mujibu wa sera ya Akiba na Amana.
Mikopo
Ukiwa mwanachama wa Bandarini SACCOS Limited utaweza kunufaika na bidhaa zetu za Mikopo mbalimbali zenye masharti na riba nafuu.
