Jiunge Nasi
Jiunge na Bandarini SACCOS Limited ili uweze kunufaika na huduma mbalimbali ukiwa kama mwanachama hai. Kujiunga ni lazima uwe mfanyakazi wa Taasisi ya umma au binafsi.
Wekeza & kopa
Ukiwa mwanachama wa Bandarini SACCOS Limited utaweza kununua hisa na kuwekeza hisa zako kwa muda utakao ridhia. Pia utaweza kukopa kulingana na aina ya mkopo utakaohitaji. Kuna aina kumi na tatu za mikopo zinatolewa na Bandarini SACCOS Limited.
Nufaika
Kupitia akiba, amana na hisa za mwanachama pamoja na mikopo yenye riba nafuu, mwanachama ataweza kujikwamua kiuchumi na kijamii kwa kutatua tatizo la kukosa fedha kwa wakati.
Takwimu zetu
Wanachama
Mikopo (Bilioni)
Furahia Huduma
na Bidhaa zetu pendwa
Hizi ni baadhi ya Huduma na bidhaa zinazotolewa na Bandarini SACCOS Limited.
HABARI MBALIMBALI
-
TANGAZO LA UCHAGUZI WA WAWAKILISHI
TANGAZO LA UCHAGUZI WA WAWAKILISHI WA WANACHAMA WA BANDARINI SACCOS LTD Uongozi
Mawasiliano
Wasiliana Nasi!
Wasiliana na sisi kwa kuandika barua pepe yako hapo chini
