Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

Image Alt

Amana

Wekeza Bando ni amana ya muda maalum inayotolewa na Bandarini SACCOS Ltd, ambayo inatoa faida kwa wanachama wanaotaka kuweka fedha zao kwa kipindi fulani kwa riba ya 10% kwa mwaka. Hii ni fursa nzuri kwa wanachama ambao wanataka kuwekeza fedha zao kwa usalama na kupata faida zaidi.

Amana ya Kawaida ni akaunti inayowezesha wanachama kufanya miamala ya kila siku kama vile kuweka na kutoa fedha. Akaunti hii inatoa huduma za kifedha kwa urahisi na inafaa kwa matumizi ya kila siku ya wanachama.

Translate »