Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KATIKA SHULE YA MSINGI BULALE ILIYOPO JIJINI MWANZA.

BANDARINI SACCOS YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KATIKA SHULE YA MSINGI BULALE ILIYOPO JIJINI MWANZA.

Tarehe 22/11/2023 Bandarini SACCOS imetoa msaada wa vifaa vya Michezo katika Shule ya Msingi Bulale iliyopo Jijini Mwanza ikiwa ni katika Maadhimisho ya wiki ya Bandarini SACCOS ambapo Bandarini SACCOS hufanya matukio mbalimbali ya kujali jamii.

Post a Comment

Translate »