Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA KITUO CHA AFYA CHA BANDARI-DSM.

BANDARINI SACCOS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA KITUO CHA AFYA CHA BANDARI-DSM.

Leo tarehe 22/11/2023 Bandarini SACCOS imetoa msaada wa vifaa tiba katika Kituo cha Afya cha Bandari kilichopo Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni katika Maadhimisho ya wiki ya Bandarini SACCOS ambapo Bandarini SACCOS hufanya matukio mbalimbali ya kujali jamii.Vifaa hivyo vilipokewa na Kaimu Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha BandariDkt. Adalbetha Mbilinyi ambae alitoa Shukran kwa Uongozi wa Bandarini SACCOS kwa kuwapa msaada huo ambao utasaidia katika kuboresha huduma zitolewazo na kituo hicho.

Post a Comment

Translate »