Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

WANACHAMA BANDARINI SACCOS WACHANGIA DAMU HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE

WANACHAMA BANDARINI SACCOS WACHANGIA DAMU HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE

Leo tarehe 22/11/2023 wanachama wa Bandarini SACCOS wamejitokeza kuchangia damu katika wiki ya Bandarini SACCOS ambapo tukio hilo limeandaliwa na Bandarini SACCOS kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Hospitali ya Rufaa ya Temeke, ambapo ni muendelezo wa matukio ya kujali jamii katika wiki ya Bandarini SACCOS.

Post a Comment

Translate »