Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BW. HERRY ALLY KAYUMBO MJUMBE MPYA WA BODI YA BANDARINI SACCOS

BW. HERRY ALLY KAYUMBO MJUMBE MPYA WA BODI YA BANDARINI SACCOS

Leo tarehe 30/10/2022 Umefanyika uchaguzi wa kujaza nafasi iliyokuwa wazi ya Mjumbe wa Bodi ya Bandarini SACCOS ambapo Bw. Herry Ally Kayumbo aliibuka mshindi dhidi ya mgombea mwanzake Bw. Sadikiel Makono, katika uchaguzi uliofanyika kupitia Mkutano Mkuu wa 54 wa mwaka 2022.

Wajumbe waliowania nafasi hiyo ni wanne (2) na matokeo ni kama ifuatavyo;-

S/NOJINA LA MGOMBEAIDADI YA KURANAFASI
1.Herry A. Kayumbo471
2.Sadikiel A. Makono342
 JUMLA YA KURA ZILIZOPIGWA82 
 JUMLA YA KURA ZILIZOHARIBIKA1 
 JUMLA YA KURA HALALI81 

Hivyo, kutokana na matokeo hayo, Mjumbe Herry A. Kayumbo alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Uongozi Bandarini SACCOS Ltd kutokana na matokeo ya uchaguzi hapo juu.

Post a Comment

Translate »