Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

MKUTANO MKUU WA 54 KWA MWAKA 2022

MKUTANO MKUU WA 54 KWA MWAKA 2022

Leo tarehe 30 Oktoba 2022 Bandarini SACCOS imefanya Mkutano Mkuu wa 54 katika ukumbi uliopo katika jengo la bandari (one stop centre) ghorofa nne, Mkutano huo huwakutanisha wajumbe wa wawakilishi wa wanachama ambao hupewa mrejesho wa namna chama kilivyotekeleza shughuli zake kwa mwaka mzima pamoja na kuweka mikakati kwa shughuli za mwaka unaofuatia. Mkutano Mkuu wa 54 ulifunguliwa na Mgeni Rasmi Naibu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Bw. Juma Kijavara.

Post a Comment

Translate »