BW. HERRY ALLY KAYUMBO MJUMBE MPYA WA BODI YA BANDARINI SACCOS
Leo tarehe 30/10/2022 Umefanyika uchaguzi wa kujaza nafasi iliyokuwa wazi ya Mjumbe wa Bodi ya Bandarini SACCOS ambapo Bw. Herry Ally Kayumbo aliibuka mshindi dhidi ya mgombea mwanzake Bw. Sadikiel Makono, katika uchaguzi uliofanyika kupitia Mkutano Mkuu wa 54 wa mwaka 2022.
Wajumbe waliowania nafasi hiyo ni wanne (2) na matokeo ni kama ifuatavyo;-
S/NO | JINA LA MGOMBEA | IDADI YA KURA | NAFASI |
1. | Herry A. Kayumbo | 47 | 1 |
2. | Sadikiel A. Makono | 34 | 2 |
JUMLA YA KURA ZILIZOPIGWA | 82 | ||
JUMLA YA KURA ZILIZOHARIBIKA | 1 | ||
JUMLA YA KURA HALALI | 81 |
Hivyo, kutokana na matokeo hayo, Mjumbe Herry A. Kayumbo alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Uongozi Bandarini SACCOS Ltd kutokana na matokeo ya uchaguzi hapo juu.