BANDARINI SACCOS YASHINDA TUZO SUD 2023
Tarehe 01/07/2023 zimefanyika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) yaliyofanyika viwanja vya nanenane,Ipuli,Tabora ambapo Bandarini SACCOS ilishinda tuzo ya Banda Bora na tuzo ya kufanya vizuri katika uwekezaji wa Benki ya Ushirika (KCBL) ambapo tuzo hizo zilitolewa na Waziri wa Kilimo Bw. Hussein Bashe (Mb)