Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YASHINDA TUZO YA CHAMA CHENYE UBUNIFU WA BIDHAA SUD

BANDARINI SACCOS YASHINDA TUZO YA CHAMA CHENYE UBUNIFU WA BIDHAA SUD

 Tarehe 30/06/2023 Bandarini SACCOS imeshinda tuzo ya Chama cha Ushirika cha Msingi cha Akiba na Mikopo ambacho kimekuwa na ubunifu wa bidhaa na huduma kwa wanachama wake na wasio wanachama, ambapo tuzo hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dkt. Rashid Chuachua aliyekuwa Mgeni Rasmi wa siku ya leo katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) zinazoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Ipuli, Tabora kuanzia tarehe 27/06/2023 hadi tarehe 01/07/2023.

Post a Comment

Translate »