MKUTANO WA WANACHAMA WA BANDARI YA KIGOMA
Tarehe 12/06/2023 umefanyika mkutano wa wanachama wa Bandarini SACCOS waliopo Bandari ya Kigoma, ambapo wanachama hao walipata fursa ya kujadili na kupata mrejesho wa shughuli mbalimbali zinazofanyika katika chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu. Wajumbe wafuatao walichaguliwa kuwakilisha wanachama waliopo Bandari ya Kigoma;
1. Abraham Mbelwa
2. Hamis Goko
3. Nicholaus Mwanakulya
4. George Chatta