MKUTANO WA WANACHAMA WA IDARA YA FEDHA,UHANDISI,UBUNGO NA KOJ
Tarehe 31/05/2023 imehitimishwa mikutano na semina kwa wanachama waliopo Dar es salaam kwa Mkutano wa wanachama wa idara za Uhandisi, Fedha, Ubungo na KOJ uliofanyika katika ukumbi uliopo ghorofa ya 4 katika Jengo la One Stop Center ambapo wanachama walipata fursa ya kupata mrejesho kuhusu mwenendo wa chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu wa Chama. Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Uhandisi;
1. Manfred Mlimanyika
2. Victor Linus
3. Manley Mwinuka
4. Daniel Shayo
5. Japo Ramadhani
6. Jackline Augustino
7. Blandina Shayo
8. Siraj Slim
9. Mohammed Mkobokwa
10. Geofrey Ishabakaki
11. Kennedy Mwaisabula
12. Catherine Kikwesha
13. Rukambura Chogero
Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya KOJ;
1. Hezron Luoga
2. Hamis Tupa
Na wanachama kutoka kituo cha Ubungo watawakilishwa na Ussi Masudi Athumani