Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

MKUTANO WA WANACHAMA WA BANDARI YA TANGA

MKUTANO WA WANACHAMA WA BANDARI YA TANGA

 Tarehe 18/06/2023 umefanyika mkutano wa wanachama wa Bandarini SACCOS waliopo Bandari ya Tanga, ambapo wanachama hao walipata fursa ya kujadili na kupata mrejesho wa shughuli mbalimbali zinazofanyika katika chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu. Wajumbe wafuatao walichaguliwa kuwakilisha wanachama waliopo Bandari ya Tanga;
1. Fortunate Mandanda
2. Riziki Mgude
3. Neema Mujwauzi
4. Farida Mtupa
5. Simon Sayu
6. Bahati Herman
7. Bertha Mgonja
8. Dotto Mwikalo

Post a Comment

Translate »