MKUTANO WA WANACHAMA WA IDARA ZA HOSPITALI,ZIMAMOTO,RASILIMALI WATU,MANUNUZI NA BUSSINES SUPPORT
tarehe 27/05/2023 umefanyika Mkutano wa wanachama wa idara za Zimamoto, Hospitali, Rasilimaliwatu, Manunuzi na Business Support uliofanyika katika ukumbi uliopo ghorofa ya 4 katika Jengo la One Stop Center ambapo wanachama walipata fursa ya kupata mrejesho kuhusu mwenendo wa chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu wa Chama. Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Rasilimaliwatu;
1. Tatu M. Mandoa
2. Fredrick Temu
3. Zulfa I. Njalumbe
4. Angelina Swebe
Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Business Support;
1. Claudia A. Michese
2. Ally Makwita
3. Fatima A. Rajabu
4. Austin Muntali
Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Zimamoto;
1. Andrew A. Kahembe
2. Francis C. Kichonge
Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Hospitali;
1. Devotha I. Chuwa
2. Raymond Nyarufunjo
Na idara ya Manunuzi itawakilishwa na Mjumbe Said K. Ramadhani.