Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

MKUTANO WA WANACHAMA WA IDARA YA UTEKELEZAJI

MKUTANO WA WANACHAMA WA IDARA YA UTEKELEZAJI

T87arehe 25/05/2023 umefanyika Mkutano wa wanachama wa idara ya Utekelezaji uliofanyika katika ukumbi uliopo ghorofa ya 4 katika Jengo la One Stop Center ambapo wanachama walipata fursa ya kupata mrejesho kuhusu mwenendo wa chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu wa Chama. Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Utekelezaji;
1. Fue A. Mshana
2. Benard J. Ntandu
3. Hellen A. Kiraya
4. Justine Mdemu
5. Salama S. Jengo
6. Veneranda R. Sangawe
7. Mwemezi Kawamala
8. Ezekiel Z. Silayo
9. Dickson G. Kimanga
10. Elizabeth Ndanshau
11. Khalfan Genge
12. Tumwagile S. Mwaipyana
13. Hosea M. Mnzava
14. Said O. Mlisy
15. Sophia H. Batenga
16. Sudi R. Massomo
17. Emmanuel A. Said
18. Agness H. Singano
19. Melody P. Lema

Post a Comment

Translate »