MKUTANO WA WANACHAMA WA ULINZI NA GRAIN TERMINAL
Tarehe 23/05/2023 umefanyika Mkutano wa wanachama wa idara ya Ulinzi na Grain Terminal uliofanyika katika ukumbi uliopo ghorofa ya 4 katika Jengo la One Stop Center ambapo wanachama walipata fursa ya kupata mrejesho kuhusu mwenendo wa chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu wa Chama. Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Ulinzi;
1. Martha K. Steven
2. Ramadhani N. Kisuda
3. Herry G. Lufunda
4. Mpatekele Omary
5. Anna C. Semgalawe
6. Upendo A. Mwageni
7. Sinda S. Chacha
8. Veronica G. Mbuta
9. Fred G. Mahundi
10. Hashim S. Salum
11. Assery S. Mjema
12. Flex K. Kiwelu
13. Safina Kaduma
14. Barton W. Bullime
15. Aisha Y. Mavura
Na wajumbe wawakilishi wafuatao walichaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Grain Terminal;
1. Ibrahim A. Mwamahusi
2. Fides B. Macha
3. Christom G. Mlaponi
4. Sophia M. Mgoto