Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

MKUTANO KWA WANACHAMA WA MAKAO MAKUU NA CHUO CHA BANDARI

MKUTANO KWA WANACHAMA WA MAKAO MAKUU NA CHUO CHA BANDARI

Tarehe 21/05/2023 Umefanyika mkutano wa wanachama wa Makao Makuu na Wanachama wa Chuo cha Bandari uliofanyika katika ukumbi uliopo Ghorofa ya nne katika Jengo la One Stop Center ambapo wanachama walipata fursa ya kupata mrejesho kuhusu mwenendo wa chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu wa Chama. wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa Makao Makuu;

 1. Emil John Ngooh
 2. Calist Martin Nyaki
 3. Francis G. Mhina
 4. Rebecca R. Mafwimbo
 5. Nimota M. Khadudu
 6. Fruence P. Madelemo
 7. Nelson Z. sigalla
 8. Barnabas K. Masanja
 9. Elizabeth N. Msimbe
 10. Nicholaus C. Mfinanga
 11. Angella X. Mwanache
 12. Queen C. Chiwangu
 13. Jacqueline J. Mapogo
 14. Innocent S. Kapinga
 15. Hellen I. Chao
 16. Gerald J. Kagimbo
 17. Sarah Stephano Kihonge
 18. Caroline N. Urio
 19. Mrisho H. Biboze

Na Wajumbe wawakilishi wafuatao walichaguliwa kuwawakilisha wanachama wa Chuo cha Bandari

 1. Esther M. Mchomvu
 2. Tatu S. Issike
 3. Okuly E. Muro

Post a Comment

Translate »