Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

TANGAZO LA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA

TANGAZO LA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA

MAHALI: UKUMBI ULIOPO GHOROFA YA NNE – JENGO LA ONE STOP CENTRE

KUANZIA TAREHE 20/05/2023 HADI 31/05/2023

RATIBA YA KUFANYIKA KWA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA

TAREHEMUDAIDARA
Jumamosi, 20/05/202303:30 ASUBUHI-07:00 MCHANAMAKAO MAKUU NA CHUO CHA BANDARI (SEMINA)
Jumapili, 21/05/202303:30 ASUBUHI-07:00 MCHANAMAKAO MAKUU NA CHUO CHA BANDARI (MKUTANO)
Jumatatu, 22/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRIASKARI (SEMINA)
Jumanne, 23/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRIASKARI (MKUTANO)
Jumatano, 24/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRIUTEKELEZAJI (GENERAL CARGO) (SEMINA)
Alhamis, 25/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRIUTEKELEZAJI (GENERAL CARGO) (MKUTANO)
Ijumaa, 26/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRITICTS, FIRE, MEDICAL, PROCUREMENT, MANAGEMENT, HUMAN RESEOURCE, BUSINESS SUPPORT, MARKETING, FINANCE (FEDHA), HABARI NA MAWASILIANO, CUSTOMER SERVICES, ICT SERVICES, PLANNING (SEMINA)
Jumamosi, 27/05/202303:30 ASUBUHI-07:00 MCHANATICTS, FIRE, MEDICAL, PROCUREMENT, MANAGEMENT, HUMAN RESEOURCE, BUSINESS SUPPORT, MARKETING, FINANCE (FEDHA), HABARI NA MAWASILIANO, CUSTOMER SERVICES, ICT SERVICES, PLANNING (MKUTANO)
Jumapili, 28/05/202303:30 ASUBUHI-07:00 MCHANACONTAINER TERMINAL, MARINE, GRAIN TERMINAL, RORO TERMINAL, SCANNER UNIT (SEMINA)
Jumatatu, 29/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRICONTAINER TERMINAL, MARINE, GRAIN TERMINAL, RORO TERMINAL, SCANNER UNIT (MKUTANO)
Jumanne, 30/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRIENGINEERING, MAFUTA (KOJ) , UBUNGO (SEMINA)
Jumatano, 31/05/202306:30 MCHANA – 10:00 ALASIRIENGINEERING, MAFUTA (KOJ) (MKUTANO)

NB: PAKUA KIAMBATANISHO CHA ORODHA YA WANACHAMA KULINGANA NA TAREHE ZA USHIRIKI WA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA

Post a Comment

Translate »