BANDARINI SACCOS YATEMBELEWA NA NAIBU WAZIRI WA UVUVI SUD
Mapema Tarehe 26/06/2023 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Bw. David Ernest Silinde (Mb) alipotembelea banda la Bandarini SACCOS ambapo ni alikuwa ni Mgeni Rasmi wa ufunguzi wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) yanayofanyika katika Viwanja vya Ipuli mkoani Tabora, ambapo maonyesho hayo yanategemea kufanyika kuanzia tarehe 26/06/2023 hadi tarehe 01/07/2023