MKUTANO WA WANACHAMA WA IDARA ZA CONTAINER,MARINE NA KOJ
Tarehe 29/05/2023 umefanyika Mkutano wa wanachama wa idara za Container, Marine na KOJ uliofanyika katika ukumbi uliopo ghorofa ya 4 katika Jengo la One Stop Center ambapo wanachama walipata fursa ya kupata mrejesho kuhusu mwenendo wa chama chao pamoja na kuchagua wajumbe wawakilishi watakao wawakilisha katika Mkutano Mkuu wa Chama. Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Container;
1. Athuman Mapunda
2. Jacob Njowoka
3. Halima Msumari
4. Geofrey Kabyazi
5. Saidi Nguto
6. Neema Mungaya
7. Omary Tengu
8. Zainabu Kungulilo
9. Salum Pembe
10. Kayembe Kayembe
11. Deusdedith Bachubila
Wajumbe wawakilishi wafuatao waliochaguliwa kuwakilisha wanachama wa idara ya Marine;
1. Rehan Ramadhani
2. Maulid Mambi
3. Fredrick Semali