SEMINA YA WAJUMBE WAWAKILISHI WA MKUTANO MKUU WA 54 KWA MWAKA 2022
Leo tarehe 29 Oktoba 2022 Bandarini SACCOS imefanya Semina kwa Wajumbe wawakilishi Wa Mkutano Mkuu wa 54 kwa Mwaka 2022 ikiwa na dhima ya Ujenzi wa muwakilishi mwenye ufanisi.
Semina hiyo ilifunguliwa na Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam Bw. Mrisho S. Mrisho ambaye ndiye aliyekua mgeni Rasmi wa Semina hiyo.