WANACHAMA WA BANDARINI SACCOS WASHIRIKI ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU WIKI YA BANDARINI SACCOS
Leo tarehe 26 Oktoba 2022 Bandarini SACCOS kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa wa Temeke imeongoza zoezi la uchangiaji damu liliofanyika kituo cha Afya Bandari, Hii ikiwa ni muendelezo wa kusaidia jamii katika maadhimisho ya wiki ya Bandarini SACCOS kwa mwaka 2022.