Jiunge Nasi
Jiunge na Bandarini SACCOS Limited ili uweze kunufaika na huduma mbalimbali ukiwa kama mwanachama hai. Kujiunga ni lazima uwe mfanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
Wekeza & kopa
Ukiwa mwanachama wa Bandarini SACCOS Limited utaweza kununua hisa na kuwekeza hisa zako kwa muda utakao ridhia. Pia utaweza kukopa kulingana na aina ya mkopo utakaohitaji. Kuna aina kumi na tatu za mikopo zinatolewa na Bandarini SACCOS Limited.
Nufaika
Kupitia akiba na hisa za mwanachama pamoja na mikopo nafuu anayoweza kukopa, mwanachama ataweza kujikwamua kiuchumi na kijamii kwa kutatua tatizo la kukosa fedha kwa wakati.
Takwimu zetu
Wanachama
Mikopo (Bilioni)
Furahia Huduma
na Bidhaa zetu pendwa
Hizi ni baadhi ya Huduma na bidhaa zinazotolewa na Bandarini SACCOS Limited.
HABARI MBALIMBALI
-
BANDARINI SACCOS LTD YAKABIDHI ZAWADI KWA MLEZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA BANDARINI SACCOS
Tarehe 10.01.2024 Uongozi wa Bandarini SACCOS Ltd ulikabidhi zawadi ya ngao
-
BANDARINI SACCOS YAPATA SAFU MPYA YA UONGOZI
Tarehe 26/11/2023 Bandarini SACCOS ilifanya Mkutano Mkuu wa 55 wa mwaka
Mawasiliano
Wasiliana Nasi!
Wasiliana na sisi kwa kuandika barua pepe yako hapo chini