Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya biashara
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 60
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 60
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji makubwa ya mwanachama
kiwango cha kukopa ni milioni 60 na zaidi
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 60
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kilimo ikiwemo kilimo cha biashara, chakula na ufugaji ikiwemo ufugaji wa samaki, kuku , ng’ombe na mifugo mengineyo.
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 30
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 48
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya shule ikiwemo ada, sale, vifaa vya shule na mengineyo
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 10
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
Riba ni 1.5% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya ujenzi wa nyumba na mapango mengineyo
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 60
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 60
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya manunuzi ya kiwanja.
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 20
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 48
Riba ni 0% (Mkopo huu hutolewa bila riba)
Ada ni 0% (Mkopo huu hutolewa bila ada)
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Kinga ya majanga kama kifo na ajali ya ulemavu.
Mkopo hutolewa kwa mwanachama kwa ajili ya kununua samani za nyumbani
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 10
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 36
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo hutolewa kwa mwanachama kwa ajili ya mahitaji ya usafiri ikiwemo ununuzi wa gari n.k
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 50
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 48
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya Sikukuu
kiwango cha kukopa ni hadi 0.5 million (500,000)
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 6
Riba ni 1.5% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa ajili ya ziara za kitalii kwa mtu mmoja moja au kikundi
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 15
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
Riba ni 1% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa kukidhi majanga mbalimbali ikiwemo mafuriko, matibabu, kufiwa, kuunguliwa na nyumba n.k
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 5
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
Riba ni 1.5% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa mwanachama anayekata bima ya chombo chochote cha usafiri
kiwango cha kukopa ni hadi milioni 1
Marejesho ya mkopo huu ni hadi miezi 12
Riba ni 1.5% kwa mwezi
Ada ni 0.3% ya mkopo
1/5 Akiba ya mwanachama, 1/3 Mshahara wa Mwanachama
Mkopo huu hutolewa kwa wanachama wenye uhitaji wa mshahara tangulizi
kiwango cha kukopa ni 30% ya Mshahara
Marejesho ya mkopo huu ni mwezi mmoja
Riba na Ada ni 10% kwa mwezi
1/3 Mshahara wa Mwanachama
Translate »