Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI MOJA KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI POTEA,

BANDARINI SACCOS YATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI MOJA KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI POTEA,

Leo tarehe 25 Oktoba 2022 Bandarini SACCOS imetoa msaada wa shilingi milioni moja kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Potea iliyopo Kimbiji Dar es Salaam, ambapo mchango huo umepokelewa na Mwenyekiti wa Mtaa wa potea Bw. Juma Malinda aliyeambatana na Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Potea Bw. Leonard Simon, Huu ukiwa ni muendelezo wa kusaidia jamii katika maadhimisho wa wiki ya Bandarini SACCOS kwa mwaka 2022.

Post a Comment

Translate »