Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR ES SALAAM

BANDARINI SACCOS YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR ES SALAAM


Leo tarehe 01 Mei, 2022 wafanyakazi wa Chama cha Akiba na Mikopo cha wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (Bandarini SACCOS) wameungana na wafanyakazi wengine wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi kwa mwaka 2022 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Mshahara na maslahi bora kwa wafanyakazi ndio kilio chetu, kazi iendelee..”


Post a Comment

Translate »