
Pata taarifa zako zote
kiganjani sasa
Unaweza kuangalia taarifa zako za akiba, amana, hisa na mikopo yako kiganjani mwako sasa
Soma zaidi
1842
Wanachama
1500
Watumiaji
22
Mikopo(Billion(Tzs))
17
Akiba(Billion(Tzs))
Statistic
1
2
3
Urahisi wa Kupata Taarifa Zako
Wanachama wanaweza kuona salio za akaunti zao, marejesho ya mikopo, na miamala yao papo hapo bila kulazimika kutembelea ofisi za SACCOS.
Usalama
App imejengwa kwa viwango vya juu vya usalama, ikiwa na uthibitisho wa mtumiaji ili kuhakikisha taarifa za kifedha za wanachama zinabaki salama.
Uhakika wa Upatikanaji wa Huduma
Wanachama wanaweza kufuatilia akaunti zao muda wowote, mahali popote, hivyo kuongeza urahisi wa usimamizi wa fedha zao.
Process