Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

TANGAZO LA SEMINA NA MIKUTANO YA MATAWI

Uongozi wa Bandarini SACCOS Ltd unawatangazia na kuwakaribisha wanachama wote kushiriki katika Semina na Mikutano ya Matawi, itakayofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 20 Juni 2025 kwenye ukumbi uliopo ghorofa ya nne, Jengo la One Stop Center,Dar es Salaam.

Muda:

Jumatatu – Ijumaa: Kuanzia saa 6:30 mchana
Jumamosi – Jumapili: Kuanzia saa 3:30 asubuhi

Maelekezo ya Mavazi:

  • Siku ya Semina: Tutavaa utawala binafsi ila ndani ya smart casual.
  • Siku ya Mkutano: Tutavaa sare zetu za MASHATI YA KADETI.

Tunaendelea kuwatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sanana tunawakaribisha sana

Translate »