Uongozi wa Bandarini SACCOS Ltd unawatangazia na kuwakaribisha wanachama wote kushiriki katika Semina na Mikutano ya Matawi, itakayofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 20 Juni 2025 kwenye ukumbi uliopo ghorofa ya nne, Jengo la One Stop Center,Dar es Salaam.
Muda:
Jumatatu – Ijumaa: Kuanzia saa 6:30 mchana
Jumamosi – Jumapili: Kuanzia saa 3:30 asubuhi
Maelekezo ya Mavazi:
- Siku ya Semina: Tutavaa utawala binafsi ila ndani ya smart casual.
- Siku ya Mkutano: Tutavaa sare zetu za MASHATI YA KADETI.
Tunaendelea kuwatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana

