TANGAZO LA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA
MAHALI: UKUMBI ULIOPO GHOROFA YA NNE – JENGO LA ONE STOP CENTRE
KUANZIA TAREHE 20/05/2023 HADI 31/05/2023
RATIBA YA KUFANYIKA KWA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA
TAREHE | MUDA | IDARA |
Jumamosi, 20/05/2023 | 03:30 ASUBUHI-07:00 MCHANA | MAKAO MAKUU NA CHUO CHA BANDARI (SEMINA) |
Jumapili, 21/05/2023 | 03:30 ASUBUHI-07:00 MCHANA | MAKAO MAKUU NA CHUO CHA BANDARI (MKUTANO) |
Jumatatu, 22/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | ASKARI (SEMINA) |
Jumanne, 23/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | ASKARI (MKUTANO) |
Jumatano, 24/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | UTEKELEZAJI (GENERAL CARGO) (SEMINA) |
Alhamis, 25/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | UTEKELEZAJI (GENERAL CARGO) (MKUTANO) |
Ijumaa, 26/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | TICTS, FIRE, MEDICAL, PROCUREMENT, MANAGEMENT, HUMAN RESEOURCE, BUSINESS SUPPORT, MARKETING, FINANCE (FEDHA), HABARI NA MAWASILIANO, CUSTOMER SERVICES, ICT SERVICES, PLANNING (SEMINA) |
Jumamosi, 27/05/2023 | 03:30 ASUBUHI-07:00 MCHANA | TICTS, FIRE, MEDICAL, PROCUREMENT, MANAGEMENT, HUMAN RESEOURCE, BUSINESS SUPPORT, MARKETING, FINANCE (FEDHA), HABARI NA MAWASILIANO, CUSTOMER SERVICES, ICT SERVICES, PLANNING (MKUTANO) |
Jumapili, 28/05/2023 | 03:30 ASUBUHI-07:00 MCHANA | CONTAINER TERMINAL, MARINE, GRAIN TERMINAL, RORO TERMINAL, SCANNER UNIT (SEMINA) |
Jumatatu, 29/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | CONTAINER TERMINAL, MARINE, GRAIN TERMINAL, RORO TERMINAL, SCANNER UNIT (MKUTANO) |
Jumanne, 30/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | ENGINEERING, MAFUTA (KOJ) , UBUNGO (SEMINA) |
Jumatano, 31/05/2023 | 06:30 MCHANA – 10:00 ALASIRI | ENGINEERING, MAFUTA (KOJ) (MKUTANO) |
NB: PAKUA KIAMBATANISHO CHA ORODHA YA WANACHAMA KULINGANA NA TAREHE ZA USHIRIKI WA SEMINA NA MIKUTANO YA IDARA