Pakua sasa Bandarini SACCOS App  ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani

BANDARINI SACCOS YASHIRIKI JUKWAA LA USHIRIKA KWA MKOA WA DAR ES SALAAM

BANDARINI SACCOS YASHIRIKI JUKWAA LA USHIRIKA KWA MKOA WA DAR ES SALAAM

Baadhi ya wanachama, viongozi na watendaji kutoka Bandarini SACCOS wameungana na wenzao kutoka Vyama mbalimbali vya Ushirika wa akiba na mikopo vya mkoa wa Dar es salaam kushiriki katika Jukwaa la Ushirika la Mkoa wa Dar es salaam lililofanyika katika ukumbi wa Ubungo wa Plaza kwa siku mbili kuanzia tarehe 09/06/2022 na tarehe 10/06/2022, ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Mrajis Msaidizi Ushirika wa Kifedha Bw. Josephat Kisamalala.

Post a Comment

Translate »