Pakua sasa Bandarini SACCOS App ufurahie huduma zetu kupitia simu yako ya kiganjani
Akiba inayowekwa dhamana kwa mikopo yote, haitolewi hadi ukomo wa uanachama, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh.100,000
Akiba amabayo mwanachama anaweka kwa ajili ya likizo, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 20,000
Akiba ya elimu, mwanachama huweka kwa ajili ya masomo yake pamoja na familia, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 50,000
Akiba kwa ajili ya watoto chini ya miaka 18, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 10,000
Akiba ya kikundi huwekwa kwa manufaa ya kikundi, Kima cha chini cha kuchangia kila mwezi ni Tsh. 100,000
Karibu uchague bidhaa zetu za Akiba kwa riba nafuu kabisa ukiwa na BAndarini Saccos Limited